Hivi kuna mtu yeyote anamfikia huyu jamaa kwa upambe na umbea?

Hivi kuna mtu yeyote anamfikia huyu jamaa kwa upambe na umbea?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa wale wapenzi wa filamu za kichina mtakuwa mnaelewa usnitch ,upambe umbea wa huyu jamaa.

Sidhani kama ana mpinzani huyu kiumbe , ila sasa ni hodari wa kutumia mbio yakimshinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.



1708945901323.jpg
 
Kuna jamaa series za kikorea inaitwa GIANT Kuna jamaa anaitwa Park Sotae sijui spelling zake. Jamaa mnafiki sana
Hahahaaaa umenikumbusha mbali yani movie ya kikorea nikimkosa sihangaiki nayo.
Ni chawa wa PHD ,akipewa unyapara anawasha moto hatari.
 
Back
Top Bottom