Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Cc: Machawa wa Bi Kidawa!Kwa wale wapenzi wa filamu za kichina mtakuwa mnaelewa usnitch ,upambe umbea wa huyu jamaa.
Sidhani kama ana mpinzani huyu kiumbe , ila sasa ni hodari wa kutumia mbio yakimshinda π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
View attachment 2917070
Naaam hilo ndilo jina tulilolizoea wengiIle ya bruce lee ya hotelini...Jamaa anabehave kama upinde.
Tulikuwa tunamuuta "Suzuki"
Hahahaaaa umenikumbusha mbali yani movie ya kikorea nikimkosa sihangaiki nayo.Kuna jamaa series za kikorea inaitwa GIANT Kuna jamaa anaitwa Park Sotae sijui spelling zake. Jamaa mnafiki sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaambiwa huyu jamaa ndio role model wa Baba Levo, Mwijaku, Dotto Magari na Ricardo Momo.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dah kweli utakuta kanijechetuchetua kwa boss ila ni kaoga balaa