Uzunguni huko kijijini kwetu walaNi kinyume cha sheria kuo au kuolewa na mtoto chini ya miaka 16
Hahaha nimecheka hapo kwa ma baameidVP wa Marekani aliolewa akiwa na miaka 51.
Juzi juzi tulimuona Juma K akioa kabinti ka 25 aka Dada Mwaju.
Kuna mpaka mawaziri hawajaolewa pia mabaameid wengi hawajaolewa.
Sheria Ina deal na upande mmoja tu, je vipi kama mtoto wa miaka 16 akioa bimama kubwaz inakuaje hii?Ni kinyume cha sheria kuo au kuolewa na mtoto chini ya miaka 16
Bimama kubwa litakua na hatia.Sheria Ina deal na upande mmoja tu, je vipi kama mtoto wa miaka 16 akioa bimama kubwaz inakuaje hii?
Umri auhusikiHabari JF,
Wakuu naomba ufafanuzi mdogo hivi kuna umri flani ukifika inabidi kuoa au kuolewa, yaani kuna muda inabidi uwe kwenye ndoa. Na je, ni umri gani?
Na hii ni kwa dunia nzima au? Utakuta mtu bado maisha yako mwenyewe peke yako ujiwezi wazee na majirani wakija kila siku wanaulizia huyu kijana wako ajaoa tu umri huu ebu fanyeni mumuozeshe.
Sasa nawaza kuoa au kuolewa ni inaenda na muda au mpaka mtu uwe umejiandaa kimaisha kuwa na familia.