Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Na watoto wao watakao zaliwa ni hivyo hivyohahahahhaaah, hata mtaani kwangu yumo, kaolewa Desemba, 2017. Alikulia na kusomea China, hajui kupika, hata kufua, amemwambia mumewe amnunulie mashine ya kufulia nguo na chakula watakuwa wanakula hotelini.
"Shikamoo Mzee Kumchaya kwa malezi bora"