Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea.

"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.

NTV Uganda
Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao pia wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
 
Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Wangekuwa hawapo wapinzani basi wasingekuwa wanahangaika kuwapeleka central Police, kupora kura, kutesa na kuua wapinzani wangewaacha wajipatie matonge yako kama katiba inavyotaka kila mtu apate chakula.

CCM tulichofanya Safari hii Mungu lazima atulipie tena kabla hata ya 2025.
 
Uzoefu kutoka bongo!
109098765.jpg
 
Yule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.

Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
 
Back
Top Bottom