Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Yule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.

Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
kama jamaa anafanya uchizi na anapata sapoti kubwa kiasi kile na bado unamzungumzia basi kuna haja ya kuwa chizi
 
Dkt. JPM anaposema Tanzania ni nchi tajiri kuliko & inayopaswa kuwa taifa hisani kwa wengine, huwa anamaanisha nini???
Kwani JPM ninani hasa Hadi uamini anachosema?
Huoni waTanzania Hali zao za maisha zilivyo?
 
Level! Unajiona sana. Sio sifa njema. Najaribu kukurudisha kwenye uzi wako mwenyewe hutaki. Popoma jeuri, mjivuni, mjuaji na mjuvi. Rudi kwenye mada!
Na siyo tu kuwa najifanya najua bali nakuthibitishia najua mambo mengi na ya kila Nyanja na ndiyo maana unaniona nipo kote kote tu. Ni baraka!!
 
Kwani JPM ninani hasa Hadi uamini anachosema?
Huoni waTanzania Hali zao za maisha zilivyo?
Hujajibu swali, umepuyanga tu. Kwani wewe nani hasa kiasi cha kuwa na sifa za kumhoji Dkt. JPM??? Swali haliko kwenye ukweli ama uongo wa kilichosemwa. Simply, aliposema hivyo, hivi unajua alimaanisha nini??? Swali rahisi sana, aisee!
 
Hujajibu swali, umepuyanga tu. Kwani wewe nani hasa kiasi cha kuwa na sifa za kumhoji Dkt. JPM??? Swali haliko kwenye ukweli ama uongo wa kilichosemwa. Simply, aliposema hivyo, hivi unajua alimaanisha nini??? Swali rahisi sana, aisee

Hujajibu swali, umepuyanga tu. Kwani wewe nani hasa kiasi cha kuwa na sifa za kumhoji Dkt. JPM??? Swali haliko kwenye ukweli ama uongo wa kilichosemwa. Simply, aliposema hivyo, hivi unajua alimaanisha nini??? Swali rahisi sana, aisee!
Wewe ndy unapuyanga

JPM simjui,nimekuuliza swali unacommand jibu langu nilipate kwa huyo JPM
Hvyo ni vituko vingine
 
Wewe ndy unapuyanga

JPM simjui,nimekuuliza swali unacommand jibu langu nilipate kwa huyo JPM
Hvyo ni vituko vingine
Nimesema, kwa kumnukuu Dkt. JPM, kwamba Tanzania ni nchi tajiri kuliko & ingepaswa kuwa taifa hisani kwa nchi zingine. Umekanusha. My simple question, Dkt. JPM anapotumia maneno hayo, hivi unajua huwa anamaanisha nini??? Save our precious time, please!!?
 
Jibu swali langu

Naona Tu unajificha kwenye propaganda za Huyo JpM.

Sitaki kujua JPm kasema nini,sitaki kujadili JPm kasema nini,usinilazimishe kumuelewa JpM

Hivyo basi hata ukiweka nukuu 100 za Huyo JpM bado siwezi kuzizingatia wala kuzisomo
 
Na siyo tu kuwa najifanya najua bali nakuthibitishia najua mambo mengi na ya kila Nyanja na ndiyo maana unaniona nipo kote kote tu. Ni baraka!!
Heko na hongera. Umeongea bila matusi. Sasa kweli ni mtusi. Nakujua unajua. Wanaojua hata matusi yenyewe hawajui. Matusi ni below their level.
Hapa Tz kuna TAL ni hatari sana. Jasiri. Kila neno lake ni calculated. Linastahili mahali anapolitamka, muda alipolitamka na aliyemtamkia. Ni learned lawyer cum polished politician. Huyu ni calibre ya Obama. Kwake siasa sio mchezo mchafu bali anajua sayansi ya siasa. Tatizo anakumbana na siasa za maji taka!
 
Unawapenda sana madikteta sijui una tatizo gani la kiakili.
Demokrasia ni mfumo uliobuniwa na mataifa ya kimagharibi na kuusambaza sehemu mbalimbali duniani kwa njia mbalimbali mojawapo ni misaada kwa lengo la kuweza kupenya na kuingia katika nchi mbalimbali na kutawala kupitia vibaraka wao na kupora rasilimali.
 
Mbunge anapigwa risasi mchana, mbele ya kamera za ulinzi, na mtuhumiwa haguswi?

Mbunge anatushauri tukubali USHOGA!

Mbunge anasema ataweka rehani rasilimali za taifa ili tupewe misaada!

Anasema dunia haituhitaji watanzania, ila watanzania tunahitaji dunia!

Mtu kama huyu wewe unamfanya nini?
 
Back
Top Bottom