Jumannnne
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 667
- 2,009
kama jamaa anafanya uchizi na anapata sapoti kubwa kiasi kile na bado unamzungumzia basi kuna haja ya kuwa chiziYule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.
Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.