Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Issue ni ubora wa mahakama juu ya maamuzi ya mashauri! Wewe ukikompare unafikili wapi mahakama ni bora kuliko?? Hata wewe leo ukijua ubora wa mahakama hutaogopa mana unajua utatendewa haki..!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
"WE ULIONA WAPI" JAJI MKUU ANAKAIMU NAFASI HIYO MIEZI NANE KABLA YA KUTHIBITISHWA?
 
Anz Anza kutoa kafara wewe, kam ni kufa ufe ili wengine wapone.
 
Ni kujitafutia matatizo na shida tu zisizo na msingi. yaani wapinzani ni wapumbavu na wenye akili za mfano wa vichaa. Bobi Wine ni mpumbavu sana.
 
Binafsi ningemwona Mwamba kama angesema hivi, "I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship OF PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI"!
 
Kwahiyo wewe unaona LISSU Anashindwa?
Angeweza angekimbia nchi na kuwaacha wale waliokuwa wakimuamini? Kwangu Mimi Boby Wine ni Shujaa kuliko Yeye kwakuwa hajaikimbia nchi.
 
Unazungumzia ule ulaghai wa kuwachukua wazee wetu kama watumwa wao, si ndiyo eeh??? Na kutupatia vioo (vioneleo) halafu wanasomba midhahabu, madini na ndugu zetu??? Jifunze kutafakari sana unapozungumza.
Mkuu, Jamaa hapo ameulizia Euro Million 27 mlizopewa kwa ajili ya Covd19 ! mmezipeleka wapi ?, hajaongelea ukoloni, Jibu hoja.
 
Gentamycine.

Mahakama za bongo zimetiwa mifukoni mwa ofisi kuu.

Kumbuka ziliwahi kuambiwa malizeni hizi kesi niwape hela.
 
Museveni dawa yake ni risasi tu.
Kama Carlos The Jackal alipewa Jukumu la Kumuua Rais Museveni pale Entebbe Airport kwa Maelekezo ya aliyekuwa Rais wa Sudan Omar Bashir alishindwa kuna Mpumbavu mwingine ataweza Kummaliza? Na kwa Kukusaidia tu Kukamatwa kwa Carlos The Jackal kuliratibiwa vyema na Rais huyo wa Sudan baada ya kuhisi kuwa huenda Carlos The Jackal alipewa Pesa na Museveni akashindwa Kumuua. Sudan ndiyo iliwatonya Interpol mahala alikokuwa Carlos The Jackal ndipo nao wakawatuma Askari wao kutoka nchini Ufaransa ambapo walimkamatia huko Sudan Rais Museveni ana vitu vingi ambavyo huwa vinamkinga mno ashindwe Kuuwawa au Kupata Shambulio lolote. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Binafsi ningemwona Mwamba kama angesema hivi, "I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship OF PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI"!
Hawezi kusema hivyo kwa sababu anajua M7 ni mzalendo wakati yeye ni just a Western & European imperialist puppet. Halafu, aisee, huu ung'eng'e wako ulivyopinda mbona PM Netanyahu hajauediti lakini???
 
Hata ashauriwe vipi hawezi katu kuelewa chochote maana akili zake ameziacha maili elfu huko London & Washington na wala hata hajakaa kutamani tena kuziendea maana kakolewa na kunogewa mihela yao.
Happy nimekuelewa,wanaharakati njaa hawa
Hivi wazee wetu wangekuwa kama nyinyi . Tungepata uhuru huo wa bendera kweli ?!
 
He is brave. Some sort of brave politicians are also here in Tz but lack popular support. The people of Uganda and Kenya are brave. They tolerate no nonsense.
Huwa nachukia na sipendi kweli Mtu ambaye najua au namjua kabisa ni Mtanzania ( Mswahili ) Mwenzangu halafu anapenda Kuandika Kiingereza.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜… πŸ˜… wapo si wale wanaomuita binadamu mwenzao Mungu mtukufu.

Bongo hakimu mwenyewe angempiga tik taka, kata funua matata! Case closed!

Everyday is Saturday................................😎
 
Hivi wazee wetu wangekuwa kama nyinyi . Tungepata uhuru huo wa bendera kweli ?!
Hakika tusingepata uhuru kabisa maana madini yote na rasilimali zetu wangeshazisalimisha the Hague na Bob Amsterdam angekuwa anamiliki gesi yote ya Mtwara, dhahabu ya Geita na hifadhi na vivutio vyote, Mlima Kilimanjaro, Bwana la Rufiji na tausi wa Chamwino, na pia angekuwa na mjengo wake pale Kigamboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…