Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kumwambia shemeji yako (MKAZA DADA YAKO) maneno kama haya?unawezaje kumpa DEMU biashara? we utakuwa BOYA.
Bahati NZURI kwetu hakuna MADEMU, kuna wanawake tu tena wanaojitambua vyema.Unaweza kumwambia shemeji yako (MKAZA DADA YAKO) maneno kama haya?
Mleta mada anauliza kuhusu DEMU/MPENZI, sasa hao wanawake wa kwenu "wanaejitambua vyema" watakuwa labda hawapendeki hivyo hawana sifa za kuitwa MPENZI.Bahati NZURI kwetu hakuna MADEMU, kuna wanawake tu tena wanaojitambua vyema.
hakuna mwanaume mwenye akili timamu atamuita MPENZI wake DEMU.Mleta mada anauliza kuhusu DEMU/MPENZI, sasa hao wanawake wa kwenu "wanaejitambua vyemna" watakuwa labda hawapendeki hivyo hawana sifa za kuitwa MPENZI.
(usikasirike lakini)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu mwaju nichokonoe leo lazima atacholewa.Mkuu, mimi nilimpa Mwaju Nichokonoe mtaji wa kuuza vitumbua pale buguruni....
Leo Mwajuma nichokonoe anasukuma ndiga na kubadilisha biashara kutoka kwenye vitumbua hadi electronics resources
[emoji14] [emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu mwaju nichokonoe leo lazima atacholewa.
Kuna ndugu mmoja kampa mkewe mtaji wa million 15 akawa anauza gas, matokeo yake kila akipata hela anatumbua na mashoga zake. Mikopo kila mahali mpaka kwenye WAWATA kiasi kuwa mume akitoka kanisani hajui hili wala lile anakabwa na akina mama.
Kawaambia wamfunge kama wanataka atajua mwenyewe. Imagine wanaishi ndani lakini hawasemeshani kisa ujinga wa mke.
Kama upo humu nisamehe mmama.
Mkuu safi sana,Maana watu wamezoea negativity kila kitu.Hata na mimi pia nimempa mrs Nguvu sio Pesa mtaji ni kama miezi 8 sasa imepita.Pesa yangu kanirudishia na mambo yanakwenda freshMkuu, mimi nilimpa Mwaju Nichokonoe mtaji wa kuuza vitumbua pale buguruni....
Leo Mwajuma nichokonoe anasukuma ndiga na kubadilisha biashara kutoka kwenye vitumbua hadi electronics resources
Kwanza unamfungulia mwanamke ambaye kiuhalisia sio ndugu yako wa damu ke utakua na akili timamu?Kama umewahi kumpa biashara mpenzi wako ili aisimamie , na ikafanikiwa tuambie ulitumia njia zipi,
Pia wewe aliyeishia kupotezewa hela yako tuambie ilikuwaje,
Mwisho unatoa ushauri gani kwa vijana wenye wapenzi