Hivi kuna mwanaume aliyewahi kumpa mpenzi wake biashara halafu ikafanikiwa?

Hivi kuna mwanaume aliyewahi kumpa mpenzi wake biashara halafu ikafanikiwa?

Sawa. Poleni kwa kuoa mnaowaona hawawezi kuwasaidia au kusimamisha biashara...
Mimj sijaoa mkuu ila sitaoa asiyeonesha mchango wake hata kidogo.
 
natoa tu ushauri...kabla ya kumpa mwenza wako biashara ya kufanya hasa ambayo wewe unataka akaifanye kitu cha kwanza dadisi je mpenzi wako kalipokea hilo toka moyoni? kitu cha pili je anakili kweli au uwezo wa kufanya biashara yani je ni mcheshi anakauli nzuri nk kitu cha tatu je anawaza maendeleo makubwa katika maisha yenu au ndio karidhika tu hapo mulipo..........kitu cha nne chunguza aina ya marafiki alionao kama anao je rafiki zake hao pia ni wafanyabiashara au wafanyakazi au wapenda starehe sana.......kitu cha tano tambua vipi mkeo anakatabia ka kuchepuka ndani ya ndoa na kama ana ako katabia jua dhairi faida+ mtaji utatumiwa na mwanaume mwenzio......mwisho namaliza kusema inawezekana biashara kuendelea kama naye anajitambua vyema nawe ukimpatia support ya kutosha
 
Wanawake kinachowashinda Hasa ni mapato& matumizi.

Anaweza kuuza laki moja kwa siku, jioni machinga akapitisha gauni LA
Elfu 80 na akalinunua.

Afu kesho asubuh anaamka hana ela ya kununulia mzigo.

Na hajui atafanyaje.
 
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga anicheki
 
Mkuu safi sana,Maana watu wamezoea negativity kila kitu.Hata na mimi pia nimempa mrs Nguvu sio Pesa mtaji ni kama miezi 8 sasa imepita.Pesa yangu kanirudishia na mambo yanakwenda fresh
Mkuu mkeo anatokea Moshi sehemu gani? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Inategemeana na mwanamke mwenyewe....wapo ambao wanafanikisha lengo na pia wapo wanaofeli kufanikisha lengo.

So kama unataka kufanya hivyo....ni vema ukamsoma kwanza mkeo, kama unamuona ni jembe(mchakalikaji), wekeza tu.....ila ukiona mkeo ndio wale wa full lipstick na kope, ni vema zaidi ukajipinga mwenyewe tu, maana utapoteza hapo.
 
Inategemeana na mwanamke mwenyewe....wapo ambao wanafanikisha lengo na pia wapo wanaofeli kufanikisha lengo.

So kama unataka kufanya hivyo....ni vema ukamsoma kwanza mkeo, kama unamuona ni jembe(mchakalikaji), wekeza tu.....ila ukiona mkeo ndio wale wa full lipstick na kope, ni vema zaidi ukajipinga mwenyewe tu, maana utapoteza hapo.
Kabisa Mkuu,watu wamezoea negativity sana.Kikubwa nikumsoma mtu yukoje na emotional intelligence yake ikoje akishika pesa.
 
Usimpe mtaji bila business plan na kagua biashara mara kwa mara kujua faida anaingiza au lahasha
 
Ukweli wanazingua Hawa viumbe. Wanapenda kula matunda pasina kutuza mti utoao Hayo matunda. Ushauri usikawize kumtoa kwenye system akuzingua. Ke ni vikwazo kwelikweli kwenye kufikia mafanikio.
 
Back
Top Bottom