Mimj sijaoa mkuu ila sitaoa asiyeonesha mchango wake hata kidogo.Sawa. Poleni kwa kuoa mnaowaona hawawezi kuwasaidia au kusimamisha biashara...
Mimj sijaoa mkuu ila sitaoa asiyeonesha mchango wake hata kidogo.
Bahati NZURI kwetu hakuna MADEMU, kuna wanawake tu tena wanaojitambua vyema.
[emoji24] [emoji24] pole sana mkuuMpk leo nalipa deni benki kwa wazo hewa la wife
Mkuu mkeo anatokea Moshi sehemu gani? [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu safi sana,Maana watu wamezoea negativity kila kitu.Hata na mimi pia nimempa mrs Nguvu sio Pesa mtaji ni kama miezi 8 sasa imepita.Pesa yangu kanirudishia na mambo yanakwenda fresh
Sina hamu na hao viumbe
Sina hamu na hao viumbe
Sina hamu na hao viumbe
Naona ukepaniki kabisa mkuu.Sina hamu na hao viumbe
Kabisa Mkuu,watu wamezoea negativity sana.Kikubwa nikumsoma mtu yukoje na emotional intelligence yake ikoje akishika pesa.Inategemeana na mwanamke mwenyewe....wapo ambao wanafanikisha lengo na pia wapo wanaofeli kufanikisha lengo.
So kama unataka kufanya hivyo....ni vema ukamsoma kwanza mkeo, kama unamuona ni jembe(mchakalikaji), wekeza tu.....ila ukiona mkeo ndio wale wa full lipstick na kope, ni vema zaidi ukajipinga mwenyewe tu, maana utapoteza hapo.