daah mkuu fid ana ngoma ngapi!!?..unaleta hicho kipande,mbona haitoshi!!
Kwa mantiki yake basi hata Nikki Mbishi inabidi aseme anacopy maana kwenye wimbo wa nyakati za mashaka kuna mstari anasema "Life is like a dice game" huu mstari ni jina la wimbo wa Nas na pia kwenye chorus ya huo wimbo kuna huo mstari unajirudia rudia.daah mkuu fid ana ngoma ngapi!!?..unaleta hicho kipande,mbona haitoshi!!
Wayne ktk mirror alimtaja Jackson so hakuna shida. Lakini huyo huyo Wayne ktk Fireman kama sikosei alikuwa na kesi ya wizi wa line. Kwa Fid ni ngumu kudhibitisha kwa sababu huku tulipo mstari wa mziki haujachukuliwa kama serious issue kivile. Lakini kuna siku tutarudi ktk huu udhi kudhibisha au kukanusha.Madai yako ni sawa useme FA anacopy mistari kisa alitumia msamiati huu "Don't hate the player hate the game " kwenye wimbo wa binamu.
Watu makini uwa wanatumia reference na phrases toka kwenye vitabu. Kusoma kitabu cha kingereza ukabadiri ulichokisoma na ukakitumia vizuri kuandika mistari siyo kazi ndogo.
Hukawii kusema hata Lil wayne wimbo wa mirror idea katioa kwenye hicho kitabu kacopy
Kwa mantiki hiyo basi hata Nikki Mbishi inabidi aseme anacopy maana kwenye wimbo wa nyakati za mashaka kuna mstari anasema"Life is like a dice game" huu mstari ni jina la wimbo wa Nas na pia kwenye chorus ya huo wimbo kuna huo mstari unajirudia rudia.Wayne ktk mirror alimtaja Jackson so hakuna shida. Lakini huyo huyo Wayne ktk Fireman kama sikosei alikuwa na kesi ya wizi wa line. Kwa Fid ni ngumu kudhibitisha kwa sababu huku tulipo mstari wa mziki haujachukuliwa kama serious issue kivile. Lakini kuna siku tutarudi ktk huu udhi kudhibisha au kukanusha.
daah mkuu fid ana ngoma ngapi!!?..unaleta hicho kipande,mbona haitoshi!!
Kwa mantiki yake basi hata Nikki Mbishi inabidi aseme anacopy maana kwenye wimbo wa nyakati za mashaka kuna mstari anasema "Life is like a dice game" huu mstari ni jina la wimbo wa Nas na pia kwenye chorus ya huo wimbo kuna huo mstari unajirudia rudia.
wanaodai Fid anacopy hawaezi kukupa ushahid wa maana mkuu
Umeshindwa kuthibitisha madai yako ukaishia kusema hivyo umetoa mfano wa mstari aliocopy na mimi nikakuwekea wa FA na Nikki Mbishi. Actually ukifuatilia nyimbo zote za kila msanii huwezi kukosa mistari kadhaa alizo chukua kwenye vitabu, movie au misemo au hata nyimbo nyingine.Naomba niwaache muendelee kumtukuza fid
Ukisoma vitabu ukaangalia movie fid mwepesi sana ukiacha hizo habari zingine ndogo ndogo
jamaa atakua underground..wakikaa studio wanaponda walio juu yao na kutafuta mbadala wa kumsifuUmeshindwa kuthibitisha madai yako ukaishia kusema hivyo umetoa mfano wa mstari aliocopy na mimi nikakuwekea wa FA na Nikki Mbishi. Actually ukifuatilia nyimbo zote za kila msanii huwezi kukosa mistari kadhaa alizo chukua kwenye vitabu, movie au misemo au hata nyimbo nyingine.
So madai yako biula kuambatana na ushahidi wa kujitoshereza hayana mashiko. lets call it a day.