kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
- Thread starter
- #21
daah mkuu fid ana ngoma ngapi!!?..unaleta hicho kipande,mbona haitoshi!!
Kwa mantiki yake basi hata Nikki Mbishi inabidi aseme anacopy maana kwenye wimbo wa nyakati za mashaka kuna mstari anasema "Life is like a dice game" huu mstari ni jina la wimbo wa Nas na pia kwenye chorus ya huo wimbo kuna huo mstari unajirudia rudia.daah mkuu fid ana ngoma ngapi!!?..unaleta hicho kipande,mbona haitoshi!!
wanaodai Fid anacopy hawaezi kukupa ushahid wa maana mkuu