Hivi Kuna namna ya kublock unwanted tags za status kwenye Magroup?

Hivi Kuna namna ya kublock unwanted tags za status kwenye Magroup?

Ghayo TheMongo Barbarian

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
248
Reaction score
501
Mzuka wana Jamvi..

Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa wengine wanafanya Sifa wanatg kila mara , Sasa ningependa kujua kama Kuna namna ya kuzuia huu mchezo.
 
Solution toka whatsapp wenyewe

Controlling who can send you mentions#

To stop receiving status mentions from a specific person or group, you can block the person or exit and delete the group. If you don’t want to be notified when someone mentions you, archive your chat with them or mute notifications for that chat.
If you muted someone’s status, they can still send you a chat with a mention, but their updates will remain hidden from view in the Updates tab. You can still see the status you were mentioned in.
If you think the status you were mentioned in included problematic content or spam, you can report it.

So block, mute, exit group ama Archive chat yake.

Nafkiri sababu ni feature mpya hawajaweka namna nyingi za kublock mpaka baadae.
 
Back
Top Bottom