comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii.
Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa bado litakusapoti, vyombo ya Dola na wasanii na machawa bado watakusifu na kukuabudu kama MUNGU wao.
Hii nchi akitokea Raisi akataka kutawala kama kagame au mu7 bila kikomo ni RAHISI SANA KULIKO HATA HUKO KWA KAGAME AU MUSEVENI.
NI basi tuu lakini nchi hii Raisi haogopi Raia kua hata akiwafanyia kitu kibaya gani wananchi haogopi, Kwa sababu anajua sio wananchi wanaomuweka madaralani, ukiongoza nchi hii hakuna tofauti na KUONGOZA KUNDI LA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA, NI JAMII YA AINA YAKE, KUANZIA VYOMBO VYA DOLA,WATU MAARUFU, HAWA WASANII WA KUIGIZA NA MUZIKI NDIO MFANO HALISI WA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA.
NCHI HII HATA MTU ASIEJUA KUSOMA NA KUANDIKA ANAWEZA KUIONGOZA NA AKAPATA UTUKUFU USIOKUA NA KIFANI KUTOKA KWA VYOMBO VYA DOLA NA WATU MAARUFU.