comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
UgandaTanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii.
Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa bado litakusapoti, vyombo ya Dola na wasanii na machawa bado watakusifu na kukuabudu kama MUNGU wao.
Hii nchi akitokea Raisi akataka kutawala kama kagame au mu7 bila kikomo ni RAHISI SANA KULIKO HATA HUKO KWA KAGAME AU MUSEVENI.
NI basi tuu lakini nchi hii Raisi haogopi Raia kua hata akiwafanyia kitu kibaya gani wananchi haogopi, Kwa sababu anajua sio wananchi wanaomuweka madaralani, ukiongoza nchi hii hakuna tofauti na KUONGOZA KUNDI LA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA, NI JAMII YA AINA YAKE, KUANZIA VYOMBO VYA DOLA,WATU MAARUFU, HAWA WASANII WA KUIGIZA NA MUZIKI NDIO MFANO HALISI WA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA.
NCHI HII HATA MTU ASIEJUA KUSOMA NA KUANDIKA ANAWEZA KUIONGOZA NA AKAPATA UTUKUFU USIOKUA NA KIFANI KUTOKA KWA VYOMBO VYA DOLA NA WATU MAARUFU.
Bora UgandaUganda
Wajinga kama hawaIngekuwa Raisi hivyo Lisu angekuwa raisi siku nyingi
Umekunywa nini we nyumbu? Umeshawahi kugombea nafasi ipi ya uongozi. Punguza kunywa hayo mataputapuTanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii.
Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa bado litakusapoti, vyombo ya Dola na wasanii na machawa bado watakusifu na kukuabudu kama MUNGU wao.
Hii nchi akitokea Raisi akataka kutawala kama kagame au mu7 bila kikomo ni RAHISI SANA KULIKO HATA HUKO KWA KAGAME AU MUSEVENI.
NI basi tuu lakini nchi hii Raisi haogopi Raia kua hata akiwafanyia kitu kibaya gani wananchi haogopi, Kwa sababu anajua sio wananchi wanaomuweka madaralani, ukiongoza nchi hii hakuna tofauti na KUONGOZA KUNDI LA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA, NI JAMII YA AINA YAKE, KUANZIA VYOMBO VYA DOLA,WATU MAARUFU, HAWA WASANII WA KUIGIZA NA MUZIKI NDIO MFANO HALISI WA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA.
NCHI HII HATA MTU ASIEJUA KUSOMA NA KUANDIKA ANAWEZA KUIONGOZA NA AKAPATA UTUKUFU USIOKUA NA KIFANI KUTOKA KWA VYOMBO VYA DOLA NA WATU MAARUFU.
Wewe utakua MTU mfupi, ubongo wako upo karibu na mavi, lazima akili inuke mkund*Umekunywa nini we nyumbu? Umeshawahi kugombea nafasi ipi ya uongozi. Punguza kunywa hayo mataputapu
Kama wewe unavyofirw* Kwa msimuHizi ni akili za Msimu, Huwa zinaibuka na kufa zenyewe
Anakua Raisi vipi wakati Kura SIO zinazoamua mshindi?Ingekuwa Raisi hivyo Lisu angekuwa raisi siku nyingi
Tena kirahis sanaHata barmaid anaweza kuongoza tanzania
Zanzibar, mhe. Karume aliwahi kusema ukweli kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi.Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii.
Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa bado litakusapoti, vyombo ya Dola na wasanii na machawa bado watakusifu na kukuabudu kama MUNGU wao.
Hii nchi akitokea Raisi akataka kutawala kama kagame au mu7 bila kikomo ni RAHISI SANA KULIKO HATA HUKO KWA KAGAME AU MUSEVENI.
NI basi tuu lakini nchi hii Raisi haogopi Raia kua hata akiwafanyia kitu kibaya gani wananchi haogopi, Kwa sababu anajua sio wananchi wanaomuweka madaralani, ukiongoza nchi hii hakuna tofauti na KUONGOZA KUNDI LA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA, NI JAMII YA AINA YAKE, KUANZIA VYOMBO VYA DOLA,WATU MAARUFU, HAWA WASANII WA KUIGIZA NA MUZIKI NDIO MFANO HALISI WA KONDOO WALIONYESHEWA NA MVUA.
NCHI HII HATA MTU ASIEJUA KUSOMA NA KUANDIKA ANAWEZA KUIONGOZA NA AKAPATA UTUKUFU USIOKUA NA KIFANI KUTOKA KWA VYOMBO VYA DOLA NA WATU MAARUFU.
🤣🤣🤣Zanzibar, mhe. Karume aliwahi kusema ukweli kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi.
Ukweli ndio huo kwani pamoja na kumtisha watamfukuza chama hawakumfukuza.