Hivi kuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania? Nitajie

kwa kutazama nchi zote za africa mashariki na nchi za ziada zinazotuzunguka kama zambia, congo, malawi na msumbiji.

HAKUNA NCHI INAYOJALI RAIA WAKE KAMA TANZANIA.

serikali imehakikisha gharama za maisha Tanzania zinakuwa chini kuliko hizo nchi zote, kuanzia vyakula sokoni, umeme, maji, etc

serikali imehakikisha imelinda ardhi ya nchi kwa kumkataza mgeni kumiliki ardhi,, ndio maana mpaka leo viwanja vinauzwa laki kazaa tu.

nenda hizo nchi zingine uone seke seke lao la ardhi lilivyo
 
Waliopo kwenye nafasi naskia wanazipiga Sana kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…