kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
😀😁Au Kawe Almin😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😁Au Kawe Almin😂
Kumbe uwanja haujakamilika?Nasikia eti Ilipeleka mbao na matofali pamoja na mifuko ya cement kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa uwanja wa kimataifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ningekuwa CEO wa ATCL kwa kwa kweli nisingekwenda viwanja vifuatavyo;"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
[emoji23][emoji23]Chato Kuna waongoza ndege na watu wa kuhudumia ndege?
Kuna meneja wa Chato international airport? Kama yupo imekula kwake. Aanze kununua novel.
Itue kufanya nini. Ndio imetoka hiyo. Hats ATCL zile flight zao za Chato zitasitishwa tu. Tundu Lissu alikiwa anawaambia mkawa manabisha. Mungu mwema jamani.Yes Popo wanatua daily hapo.
Chuttle is dying...let's all pray for this diminishing city...."Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
Acha upuuzi mi ni dereva tax hapa nje ya uwanja hakuna ndege hata moja ishatua Acha upuuziNdege zinatua Chato kama kawaida. Dar-Geita-Mwanza-Dar. Mondays, Thursdays & Fridays
Hivi chato kupelekewa maendeleo kunawasha nini eti?au chato sio Tanzania au chato hapastahili kupata maendeleo mbona mnafitina na ushabiki mandazi eti"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
Ni vyema hiyo hasara ikaangaliwa kwa upana zaidi kuliko ulipoishia kwa kuanzia aina ya ndege zilizopo na aina ya operations, maintenance, mikataba, na maeneo mengine. Kila kona ya Tanzania kuna Watanzania wanaohitaji usafiri wa ndege. Cha msingi ni kuzingatia aina ya ndege ya kupeleka na idadi ya route kwa wiki.Kama ningekuwa CEO wa ATCL kwa kwa kweli nisingekwenda viwanja vifuatavyo;
1. Chato
2. Mpanda/ Katavi
3. Songea
4. Iringa
5. Shinyanga
Ukisikia CAG anasema kwa mahesabu ya 2019/21, ATCL imepata loss ya Tsh 60 Bilion, ujue sababu ni kwenda kwenye viwanja vya peripheral.
FAST JET walioperate kwa faida kwa kwenda Mwanza, Kilimanjaro na Mbeya tu.
Hakuna haja ya kwenda kwenye mikoa kwa ajili ya kuwaridhisha wanasiasa. Huu siyo mwenge wa uhuru, bali ni biashara ambayo lazima izalishe faida
Kuna moja ilipeleka mizigo juzi kati
Mwendazake alikuwa na nia njema kwa ndugu/jamaa zake ila Mungu kawa na nia bora zaidi kwa Watz.Mizigo ya mwendazake
Sawa mkuuMwendazake alikuwa na nia njema kwa ndugu/jamaa zake ila Mungu kawa na nia bora zaidi kwa Watz.