Hapana mkuu haina. Nadhani nijaribu hii option ulionipa japo itahtaj budget ambayo skuwa nmeipangaKuna jamaa ameseti chumba kwa kutumia mazulia yale ya kupima na material ya sound proof chumbani. Sema I nahitaji kubadili miundombinu ya chumba toka kutumia Dirisha hadi AC, ili kuwa completely sound proof.
Na hio mic haina option ya ku cancel Noise toka upande fulani?
Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani.
Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2.
Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu.
Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo.
Nimejaribu google na zile mini booth ziko kama maboksi, je hizi zinaweza zuia external noise au zinazuia tu sauti kubounce?
Chief-Mkwawa
Hii litu inaweza kugharimu bei gan mkuuChonga hii kitu kama unaona room itakuwa shida especially kama unafamilia utafutahi mwenyewe nishaingia humu na hakuna kelele utakazo sikia ukiwa ndani hata mwangu wa sauti hakuna bima hole ndogo sana na vingine vinaeleza small air condition pambana ukapate no buguza hapo dar kuna sehemu wanatumia kwenye shuguli audiology
View attachment 1895903
Kuhusu bei mkuu sifahamu ila nadhani zipo za mchina na unaweza chonga kwa mafundi wa masofa unawapa maelezo, maana ndani ya hiyo box kuna kuwaga na sponji/magodoro yamefunikwa kuta zote kama vile vigae vinavyotumika kuta zote za vyoo vya kisasa kwa hiyo jaribu kucheki mitandaoni au wape maelekezo mafundi, mtafute jamaa anaitwa mwaite furniture hapo Keko anaweza kukufanyia hiyo kaziHii litu inaweza kugharimu bei gan mkuu
Asante sana mkuu asante sanaKuhusu bei mkuu sifahamu ila nadhani zipo za mchina na unaweza chonga kwa mafundi wa masofa unawapa maelezo, maana ndani ya hiyo box kuna kuwaga na sponji/magodoro yamefunikwa kuta zote kama vile vigae vinavyotumika kuta zote za vyoo vya kisasa kwa hiyo jaribu kucheki mitandaoni au wape maelekezo mafundi, mtafute jamaa anaitwa mwaite furniture hapo Keko anaweza kukufanyia hiyo kazi
No zake ni 0718 064 718
Ila cheki pia mtandaoni ili ufanye comparison ya bei
Hii ndio solution, B1 zina higher frequency response, mbaya zaidi hazina option ya kubadili pick up pattern, nivizur Kujua tabia ya mic ukiwa unanunua, kwan siyo kila kazi ya audio recording inaweza kutumia mic yoyoteChonga hii kitu kama unaona room itakuwa shida especially kama unafamilia utafutahi mwenyewe nishaingia humu na hakuna kelele utakazo sikia ukiwa ndani hata mwangwi wa sauti hakuna vina hole ndogo sana na vingine vina small air condition pambana ukapate no buguza hapo dar kuna sehemu wanatumia kwenye shuguli audiology
View attachment 1895903
Nina mic nyingine pia akg c1000s nayo inanasa hatari yani inanasa kila kituHii ndio solution, B1 zina higher frequency response, mbaya zaidi hazina option ya kubadili pick up pattern, nivizur Kujua tabia ya mic ukiwa unanunua, kwan siyo kila kazi ya audio recording inaweza kutumia mic yoyote
AKG ziko amazing sanaNina mic nyingine pia akg c1000s nayo inanasa hatari yani inanasa kila kitu