Hivi kuna pombe ya kienyeji nzuri kama ulanzi?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
ulanzi ukiukuta kwa wagemaji ni bonge labidhaa. ukute kitu kama hiki.
2016-02-28 15.00.51.jpg

kwenye mazingira kama haya.
2016-02-28 14.57.08 (2).jpg
 
Duh hiyo ndio pombe chafu zaidi ya kienyeji. Humo kwenye chombo wanachokingia lazima ukija kuchukua pombe ukute konokono wameingia kadhaa. Wanawatoa mnaletewa Sokoni.
Pamoja na budget kufikia kikomo ulanzi sinywi. Bora nipige zangu go.n.go ya mia saba nikapige usingizi
 
ahaaaaa umenikumbusha mbali sana ugimbi............😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛
mitaa ya mashine tatu kilabu cha ulanzi na nick motel
 
Ndo mbadala wa viroba au? [emoji16][emoji16]
 
Duh hiyo ndio pombe chafu zaidi ya kienyeji. Humo kwenye chombo wanachokingia lazima ukija kuchukua pombe ukute konokono wameingia kadhaa. Wanawatoa mnaletewa Sokoni.
Pamoja na budget kufikia kikomo ulanzi sinywi. Bora nipige zangu go.n.go ya mia saba nikapige usingizi
Sa gongo si ndo chafu zaidi?
 
Unanikumbusha pale mafinga seminari kijiji cha jirani mji mwema kuna mama alikuwa anatuuzia ulanzi anatupikia na mboga msampuo mixer mkalifya na majani ya maboga na pilipili nyingi duuuh ulanzi pombe bora sana jamani
 
Duh hiyo ndio pombe chafu zaidi ya kienyeji. Humo kwenye chombo wanachokingia lazima ukija kuchukua pombe ukute konokono wameingia kadhaa. Wanawatoa mnaletewa Sokoni.
Pamoja na budget kufikia kikomo ulanzi sinywi. Bora nipige zangu go.n.go ya mia saba nikapige usingizi
ulikuta wagemaji hawafuniki mbeta.
 
Unanikumbusha pale mafinga seminari kijiji cha jirani mji mwema kuna mama alikuwa anatuuzia ulanzi anatupikia na mboga msampuo mixer mkalifya na majani ya maboga na pilipili nyingi duuuh ulanzi pombe bora sana jamani
we kweli umeunywa. hadi msapuo unaujua. upate ulanzi wa baridiiii wakati wa jua kali.
 
Banana wine,Ila ulanzi ni chafu sana ukienda wanapogema una weza usinywe kamwe.
 
Ulanzi ndio pombe safi kuliko zote za kienyeji inaweza kuja kuchafuliwa ikiwa imefika chini kama lakini huwa ni pombe ambayo ni safi kuanzia inakotengenezwa kule juu kwenye kugemwa. Ni tamu sana usipokuwa mwangalifu utakunywa mpaka ujisahau tatizo lake ni kaharufu kake tu hakajakaa vizuri
 
Duh hiyo ndio pombe chafu zaidi ya kienyeji. Humo kwenye chombo wanachokingia lazima ukija kuchukua pombe ukute konokono wameingia kadhaa. Wanawatoa mnaletewa Sokoni.
Pamoja na budget kufikia kikomo ulanzi sinywi. Bora nipige zangu go.n.go ya mia saba nikapige usingizi
Sio kweli,inafunikwa.na mbeta uwa zinaoshwa.
 
Unanikumbusha pale mafinga seminari kijiji cha jirani mji mwema kuna mama alikuwa anatuuzia ulanzi anatupikia na mboga msampuo mixer mkalifya na majani ya maboga na pilipili nyingi duuuh ulanzi pombe bora sana jamani
Umenikumbusha mbali Sana Aisee St Kizito hapo kwa Njata na Dwarfu
 
Back
Top Bottom