Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa gongo si ndo chafu zaidi?Duh hiyo ndio pombe chafu zaidi ya kienyeji. Humo kwenye chombo wanachokingia lazima ukija kuchukua pombe ukute konokono wameingia kadhaa. Wanawatoa mnaletewa Sokoni.
Pamoja na budget kufikia kikomo ulanzi sinywi. Bora nipige zangu go.n.go ya mia saba nikapige usingizi
ulikuta wagemaji hawafuniki mbeta.Duh hiyo ndio pombe chafu zaidi ya kienyeji. Humo kwenye chombo wanachokingia lazima ukija kuchukua pombe ukute konokono wameingia kadhaa. Wanawatoa mnaletewa Sokoni.
Pamoja na budget kufikia kikomo ulanzi sinywi. Bora nipige zangu go.n.go ya mia saba nikapige usingizi
we kweli umeunywa. hadi msapuo unaujua. upate ulanzi wa baridiiii wakati wa jua kali.Unanikumbusha pale mafinga seminari kijiji cha jirani mji mwema kuna mama alikuwa anatuuzia ulanzi anatupikia na mboga msampuo mixer mkalifya na majani ya maboga na pilipili nyingi duuuh ulanzi pombe bora sana jamani
Sio kweli,inafunikwa.na mbeta uwa zinaoshwa.Duh hiyo ndio pombe chafu zaidi ya kienyeji. Humo kwenye chombo wanachokingia lazima ukija kuchukua pombe ukute konokono wameingia kadhaa. Wanawatoa mnaletewa Sokoni.
Pamoja na budget kufikia kikomo ulanzi sinywi. Bora nipige zangu go.n.go ya mia saba nikapige usingizi
Umenikumbusha mbali Sana Aisee St Kizito hapo kwa Njata na DwarfuUnanikumbusha pale mafinga seminari kijiji cha jirani mji mwema kuna mama alikuwa anatuuzia ulanzi anatupikia na mboga msampuo mixer mkalifya na majani ya maboga na pilipili nyingi duuuh ulanzi pombe bora sana jamani