Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Ila huu mziki wa kufokafoka umetoka mbali.. zamani waimbaji walikuwa wanaonekana kama machizi au mazezeta hivi na wao walikuwa wanaona sifa..Ndio Mashabiki wasasa hivi wanataka. Nyie wakongwe hata Kanda mseto Rap ilipokua rap mlikua hamnunui
Umetoka mbali sana ukianzia kwenye asili yake kabisa.. mpaka Ile era ambayo kila kitu kikawa the same flow, rhythm na etcIla huu mziki wa kufokafoka umetoka mbali.. zamani waimbaji walikuwa wanaonekana kama machizi au mazezeta hivi na wao walikuwa wanaona sifa..
😂😂😂😂umekuja kumpromoti huku jf huyu kijana wa morogoro?.......ila morogoro kugumu aisee kiutafutaji labda ujikite kwenye kilimo cha mpunga
Hahhaa nunua kanga mbele ya maukifi kitenge😆😆Huyu jamaa mistari yake hapana
Utasikia
1) Wanataka nife Ili Aishi manula
2)Vyombo vya habari vinaoshwa kwenye besen
3) Hata wachawi wanajua mchawi pesa
4)Dirisha la usajili wameweka mapazia
5)Nanunua kanga mbele ya maulidi kitenge
6) Nimeongea na ndugu yangu anaitwa Maneno akasema Hana neno
7)Nimekosa pa kukaa nikakaa kimya
Hiyo ni baadhi tu ila itoshe kusema jamaa ni mmoja kati ya marapa wa kitapeli ambao Taifa limebahatika kuwa nao
View attachment 3554988
Jamaa amezingatia vina lakini vimekosa ujumbeBinafsi naona kama ubunifu tu walioimba mambo magumu leo hii mnawacheka mifukon hawana kitu
Kama anapata pesa haina shida
Nyumba ni choo🤣Huyu dogo baada ya ile ngoma ya champion hajawahi kutoa wimbo wakueleweka tena
Na umakini wote wa Joh bado kafanya uzembe😁😁😁😁Anakwambia
"Nshawai kumkuta steve mweusi kitambaa cheupe"
"Nalinda bustan yangu wasimuibe maua sama"
"Jela hakuna amani hata, uingie na frida"
"Mi niliwah kumkuta Joh Makini akifanya uzembe😂"
"Ukimuita Manara Haji"
"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"
"Yaliyonitokea shekilango sitaki tena urafiki"
KabisaHuyu dogo baada ya ile ngoma ya champion hajawahi kutoa wimbo wakueleweka tena
Ila Alijitahidi kwenye dunga maweHuyu dogo baada ya ile ngoma ya champion hajawahi kutoa wimbo wakueleweka tena
Hata shetani anatamani choo cha malaika 😅Nyumba ni choo🤣
🔥😂Hata shetani anatamani choo cha malaika 😅