Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

Heriter watata hivi mnamjuaa nyie .. gombe la gombe mp3

Paradoxe nyie mnamjuaa hivi l rice mp 3
Jb mpiana na mwenge bbg faxe de l’amour mp3
Koffi na Cindy nyimbo zake unazijua
Man bonher
Jet jure n .k
Extra music Maman Bonheur
 
Ila vita imana na 100kg zile ngoma unaweza pata hata mkopo 😂
Ni nuksi
Hilo 100 KG halichoshi halafu linachezeka na rika zote mpaka mtoto wa mwaka 0 akasikia atacheza mzee wa miaka 100+ akasikia atacheza hata kwa kutikisa kichwa tu yaan ni ngoma ambayo haina umri wala rika ni ngoma ya rika zote, alieupika ule mdundo producer sijawahi ona amepewa tuso
 
Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba?
Msikilize Fally Ipupa utazijua rhumba kali zinakuwaje
 
Koffi Hana rhumba ya kumzidi Ferre Gola lakini pia Ferre sio mwanafunzi wa Koffi, alienda quarter latin akiwa tayari star na rhumba nyingi kama 100 kilosa na vita imana, mwalimu wa Ferre ni Werrason hapo itakuwa sawa mkuu.
Koffi na Fally ndiyo mastaa wa Congo
 
Hii ni balaa ya zote likipigwa hili dude lazima mtulie hata km mpo msikitini mnasikiliza mawaiza mara limepita gari la matangazo linapiga huo mgoma pembeni ya msikiti Imamu lazima aahirushe Swala akaruke ndebe kidogo maana hakuna namna
Muziki unapogonga kichwani mwa mtu huwa unasimakisha shughuli zote zinazoendelea ndani ya kichwa then unabaki wenyewe kama mtawala, unaweza ukajikuta chozi linakutiririka halafu haujui kwanini😅😅😅
 
Muziki unapogonga kichwani mwa mtu huwa unasimakisha shughuli zote zinazoendelea ndani ya kichwa then unabaki wenyewe kama mtawala, unaweza ukajikuta chozi linakutiririka halafu haujui kwanini😅😅😅
Ndio hivyo mkuu wapishi wa muziki na watunzi wa melody wana pepo yao ya pekee huko mawinguni
 
Back
Top Bottom