Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

Zipo,
Nikikuwekea list hapa utahama.
Koffi ana rhumba nyingi sana na ndo mwalimu wa Ferre.
Omba masikini best rhumba.
Jibe ile alipiga na Pappa Wemba.
Nakuja na zingine.
Nafikiri Koffi hana mpinzani.
 
Pia muende mkaskilize kasongo ya kingkiki😅😅😅
 
Playlist Yangu Pendwa kutoka Taifa La Congo .
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-24-10-32-57-15.png
    Screenshot_2025-02-24-10-32-57-15.png
    301.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_2025-02-24-10-32-40-75.png
    Screenshot_2025-02-24-10-32-40-75.png
    654.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom