Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

Sasa hapo rhumba ni ipi mkuu au hujui rhumba ni nini, eloko oyo iwe rhumba na eclipse itakuwa nini. Original sio rhumba pia ni sebene kibongobongo
Mimi hata sielewi mimi ninachojua kila wimbo wa Fally ni rhumba
Kwani Congo wanaimba miziki ya aina ngapi
 
upo
Fally hawezi kumkuta Ferre hata robo, ukiona mtu anamsifia Fally mbele ya Ferre huyo hajui rhumba ni nini, wajuzi kama wewe ndio mnajua uzuri wa rhumba na mfalme wa rhumba music ni Ferre
upo sahihi fally na fere ni kama mondi na kiba yaani fally ana kismati tuu (full mapicha picha) Feregola ni hsbari nyingine by the way, fere amewai kuja bongo? last time nilitimba kenya kushuhudia show ya fere.
 
Huyo Ferre hawezi kumfikia Fally kwa hits
 
Wakuuu nikitulia nitalist nyimbo ambazo mm naamin kwa msikiliza rhumba anaelewa
 
Upo
upo sahihi fally na fere ni kama mondi na kiba yaani fally ana kismati tuu (full mapicha picha) Feregola ni hsbari nyingine by the way, fere amewai kuja bongo? last time nilitimba kenya kushuhudia show ya fere.
Fally hawezi kumkuta Ferre hata robo, ukiona mtu anamsifia Fally mbele ya Ferre huyo hajui rhumba ni nini, wajuzi kama wewe ndio mnajua uzuri wa rhumba na mfalme wa rhumba music ni Ferre
Wakuu msitake kumuandareti Fally kivileee

Ipo hivi
Ferre Gora anapiga Rumba la asili kabisa ya congo na ndio maana anakubalika zaidi ndani ya DRC(simaanishi nje hapendwi)
Fally ni dizaini ya akina Papa Wemba... wataalamu wa kumix rumba na kuadapt kulingana na wakati na mazingira na genre zingine za muziki
Ndio maana Fally anakubalika zaidi nje ya DRC

Fally na Gola kila mmoja akifanya tamasha siku moja pale Kinshasa basi kuna hati hati Fally akatumbuiza viti kwenye tamasha lake

Lakini ikiwa ni nje ya DRC Fally ni habari nyingine kabisa, jamaa kaliteka soko la Africa na dunia

Ferre Gola alikujaga Dar aisee tamasha tulikwenda tunaojua muziki tu lakini Fally watakwenda watu wote wanaopenda muziki

So nawaelewa zaidi kama mnamaanisha Rumba halisi
 
Mkuu wewe umeelezea vyema kabisa!
 
U

Utakunywa soda au bia
Umeandika point tupu
 
Upo sahihi sana.
 
Kwa hiyo ndio mnawachezesha hadi hawa makamanda?

IMG-20250224-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom