Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anataka kutumia sabuni au maji, kama sabuni hakuna ila maji yapo kutoka madagascar mkuu
Sasa mtu anaoga kwa sabuni ina mabaki ya mboga za majani na harufu ya samaki hamu inakata anajimwagia maji anatoka😁😁
😆😆😆😆Tumia RUNGU mzee baba usimsingizie mwenzio
[emoji3][emoji3]Sasa mtu anaoga kwa sabuni ina mabaki ya mboga za majani na harufu ya samaki hamu inakata anajimwagia maji anatoka[emoji16][emoji16]
Mwambie atafute Geisha ataoga na kupiga pull juu asipoangalia
Imetoka nchi gani hiyo ?Amfifiro ita mfaa