[emoji23] [emoji23] mkuu chini ya aridhi ni duniani.. hapa tupo nje ya dunia yaani kwenye surface huko ndani ardhini bado ni part ya dunia.Salute,
Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu.
Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi?
Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography?
Acha povu, leta mjadala.
Karibuni sana.
Sasa kwanini dunia ni sayari ya tatu?, wakati zingine zipo juu?[emoji23] [emoji23] mkuu chini ya aridhi ni duniani.. hapa tupo nje ya dunia yaani kwenye surface huko ndani ardhini bado ni part ya dunia.
Hizo sayari nyingine zipo kwenye space yani angani huko
Sayari kwenye solar system hazijajipanda kutoka juu kwenda chini ..bali zimejipanga kwenye ring kulizunguka juaSasa kwanini dunia ni sayari ya tatu?, wakati zingine zipo juu?
Ni ya tatu kutokana umbali wake kutoka jua lilipo.Sasa kwanini dunia ni sayari ya tatu?, wakati zingine zipo juu?
Hiyo ni picha halisi ama ya kuchora!? Na kama ya kuchora nini kinathibitisha hilo. Ama uthibitisho huo upo kwa kutumia Telescope!?Sayari kwenye solar system hazijajipanda kutoka juu kwenda chini ..bali zimejipanga kwenye ring kulizunguka jua
View attachment 686258kama unavyoona kwenye picha hapo...
Kwahio haimaanishi sisi dunia tukiwa wa 3 kwamba za nyuma yetu yaani ya 4 nne na kuendelea zipo chini yetu..
Hio picha ni ya kuchorwa.Hiyo ni picha halisi ama ya kuchora!? Na kama ya kuchora nini kinathibitisha hilo. Ama uthibitisho huo upo kwa kutumia Telescope!?
Hiyo ni picha ya demonstration... so ni ya kuchora.Hiyo ni picha halisi ama ya kuchora!? Na kama ya kuchora nini kinathibitisha hilo. Ama uthibitisho huo upo kwa kutumia Telescope!?
Sayari zingine ziko pembeni, sio chini. Geograpjy ma science ndio zimesema hivyo.Salute,
Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu.
Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi?
Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography?
Acha povu, leta mjadala.
Karibuni sana.
Dunia ni sayari ya tatu horizantally kutoka ktk jua. Jua ndio limetumika kama kipimo cha nth sayariSasa kwanini dunia ni sayari ya tatu?, wakati zingine zipo juu?