Hivi kuna sayari zingine chini ya ardhi baada ya dunia?

Hivi kuna sayari zingine chini ya ardhi baada ya dunia?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute,

Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu.

Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi?

Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography?

Acha povu, leta mjadala.

Karibuni sana.
 
[emoji23] [emoji23] mkuu chini ya aridhi ni duniani.. hapa tupo nje ya dunia yaani kwenye surface huko ndani ardhini bado ni part ya dunia.
Hizo sayari nyingine zipo kwenye space yani angani huko
 
[emoji23] [emoji23] mkuu chini ya aridhi ni duniani.. hapa tupo nje ya dunia yaani kwenye surface huko ndani ardhini bado ni part ya dunia.
Hizo sayari nyingine zipo kwenye space yani angani huko
Sasa kwanini dunia ni sayari ya tatu?, wakati zingine zipo juu?
 
Sasa kwanini dunia ni sayari ya tatu?, wakati zingine zipo juu?
Sayari kwenye solar system hazijajipanda kutoka juu kwenda chini ..bali zimejipanga kwenye ring kulizunguka jua
solar-system-1.jpg
kama unavyoona kwenye picha hapo...
Kwahio haimaanishi sisi dunia tukiwa wa 3 kwamba za nyuma yetu yaani ya 4 nne na kuendelea zipo chini yetu..
 
Sayari kwenye solar system hazijajipanda kutoka juu kwenda chini ..bali zimejipanga kwenye ring kulizunguka jua
View attachment 686258kama unavyoona kwenye picha hapo...
Kwahio haimaanishi sisi dunia tukiwa wa 3 kwamba za nyuma yetu yaani ya 4 nne na kuendelea zipo chini yetu..
Hiyo ni picha halisi ama ya kuchora!? Na kama ya kuchora nini kinathibitisha hilo. Ama uthibitisho huo upo kwa kutumia Telescope!?
 
Hiyo ni picha halisi ama ya kuchora!? Na kama ya kuchora nini kinathibitisha hilo. Ama uthibitisho huo upo kwa kutumia Telescope!?
Hio picha ni ya kuchorwa.
Wanasayansi walipima umbali kutoka kwenye jua hadi kwenye kila sayari ndio wakajua ipi ipo karibu na ipi iko mbali
 
Hiyo ni picha halisi ama ya kuchora!? Na kama ya kuchora nini kinathibitisha hilo. Ama uthibitisho huo upo kwa kutumia Telescope!?
Hiyo ni picha ya demonstration... so ni ya kuchora.
 
Sayari ya watu wasiojulikana
Muhimili uliojichimbia...
 
Salute,

Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu.

Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi?

Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography?

Acha povu, leta mjadala.

Karibuni sana.
Sayari zingine ziko pembeni, sio chini. Geograpjy ma science ndio zimesema hivyo.
 
Mkuu anachouliza nahisi kumwelewa kiasi na naomba nimjibu kadri nitakavoweza ila nitakaa katika uhalisia zaidi:Kwanza dunia yetu ni sayari ya tatu kutoka jua lilipo,lakini haimaanishi zimejipanga katika mstari labda kutoka juu kwenda chini au kutoka kushoto kwenda kulia. Muundo uko hivi jua liko katikati na sayari zimelizunguka jua zingine ziko chini kutoka lilipo jua zingine juu zingine ubavuni ila zote ziko katika mwendo wa kuzunguka jua na kila moja ina njia yake pia dunia ni duara lakini sio kama picha uzionazo kila siku mpaka dakika hii ulimwengu hawajaachia picha halisi ya dunia hizo zote ni kazi ya teknolojia japo wanaihubiria dunia na kuilazimisha iamini,hii hili limefundishwa shule zote primary,middle na high schools zotempaka karne ya 16.mipangilio uionayo katika picha wamerahisisha ili watu hasa wanafunzi wa hatua ya awali waelewe kiurahisi,kwa hiyo ndugu muulizaji hapo ulipo zipo sayari ziko chini ya dunia zingine ziko juu ya dunia zingine ubavuni mwa dunia ila umbali mrefu sana.Na kwa kutumia nadharia asilia-kidogo hukitumikia kikubwa hivyo basi dunia inalizunguka jua
 
Sayari ya pluto ilishafutwa mkuu.Ilikosa sifa moja kuu.

Sayari lazima iwe na orbit yake ambayo haiingiliani na zingine.Lakini pluto inaingiliana (overlap) na orbit za sayari zingine hivyo ilifeli hivyo tu.

Japo hapa ni kwenye wrong forum Asante.
 
Back
Top Bottom