Hivi kuna sayari zingine chini ya ardhi baada ya dunia?

Kama ipo hivyo dunia,, kuna uwezekano wa kutoboa tundu ukatokea chini ya dunia na sayari ingine... Hawa wazungu nao MAGIRINI SN sio watu wa kuwaamini sn
 
Salute,

Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu.

Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi?

Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography?

Acha povu, leta mjadala.

Karibuni sana.

Mzee!

Kwa mtu aliekwisha soma mpaka kidato cha nne,hilo swali ni la kiduwanzi sana!

Sikucheki,I respect you as a person,ila swali hili sio!

Mzee hebu kiji brush kidogo kuhusu cosmology!Google ipo!
 
Mzee!

Kwa mtu aliekwisha soma mpaka kidato cha nne,hilo swali ni la kiduwanzi sana!

Sikucheki,I respect you as a person,ila swali hili sio!

Mzee hebu kiji brush kidogo kuhusu cosmology!Google ipo!
Mkuu huu ni mjadala, toa maoni yako, ukiona ni la kiduwanzi pita pembeni
 
Kama ipo hivyo dunia,, kuna uwezekano wa kutoboa tundu ukatokea chini ya dunia na sayari ingine... Hawa wazungu nao MAGIRINI SN sio watu wa kuwaamini sn
Tunataka uthibotisho wa vitabu vitakatifu
 
mawazo kama haya ya huyu mtoa mada nilikuwaga nayo nikiwa darasa la 3[emoji23]nkawa nasema kama dunia ni ya 3 basi mbili ziko chini ya 3 dunia ya 4 mbingu tunayoiona yani anga ya tano inafata huko mbele ya anga nakuendelea,yani kila mtu lazima aliwaza hivi enzi za utoto ile ukishasoma geography vzr mpaka la 7 ukaendelea mbele zaidi upeo unakuwa mkubwa unaelewa na kugundua zilikuwa akili za kitoto tu,sasa mwenzangu mtoa mada sijui kaishia darala la ngapi,swali la mtoto wa darasa la pili KABISA hili[emoji1787]
Mzee!

Kwa mtu aliekwisha soma mpaka kidato cha nne,hilo swali ni la kiduwanzi sana!

Sikucheki,I respect you as a person,ila swali hili sio!

Mzee hebu kiji brush kidogo kuhusu cosmology!Google ipo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…