Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ipo hivyo dunia,, kuna uwezekano wa kutoboa tundu ukatokea chini ya dunia na sayari ingine... Hawa wazungu nao MAGIRINI SN sio watu wa kuwaamini snSayari kwenye solar system hazijajipanda kutoka juu kwenda chini ..bali zimejipanga kwenye ring kulizunguka jua
View attachment 686258kama unavyoona kwenye picha hapo...
Kwahio haimaanishi sisi dunia tukiwa wa 3 kwamba za nyuma yetu yaani ya 4 nne na kuendelea zipo chini yetu..
Salute,
Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu.
Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi?
Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography?
Acha povu, leta mjadala.
Karibuni sana.
Maana huko utapata majibu meng zaid na huko ndo jukwaa la thread kama hiiKwanini?
Mkuu huu ni mjadala, toa maoni yako, ukiona ni la kiduwanzi pita pembeniMzee!
Kwa mtu aliekwisha soma mpaka kidato cha nne,hilo swali ni la kiduwanzi sana!
Sikucheki,I respect you as a person,ila swali hili sio!
Mzee hebu kiji brush kidogo kuhusu cosmology!Google ipo!
Mzee!
Kwa mtu aliekwisha soma mpaka kidato cha nne,hilo swali ni la kiduwanzi sana!
Sikucheki,I respect you as a person,ila swali hili sio!
Mzee hebu kiji brush kidogo kuhusu cosmology!Google ipo!
Utafiti mpya unasema kuna zaidi ya sayari 50 bado hawajamalizia uchuziMkuu kuna sayari nane pluto ilifutwa sio sayari ai vigezo vya kuwa sayali
Big up mkuu