Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu.
Kwa upande wa matunda na vyakula ndiyo usiseme. Haya ni maoni yangu binafsi. Hivyo, sitaleta utafiti zaidi ya uzoefu wangu binafsi.
Je kuna sehemu nyingine inayoweza kuipiku Lushoto kwa uzuri wanangu?
Hebu nisaidieni tuelimishane.