Hivi kuna sheria inayowaelekeza CCM kutomkosoa mwenyekiti wao wa chama?

Hivi kuna sheria inayowaelekeza CCM kutomkosoa mwenyekiti wao wa chama?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Kuna jambo huwa naangalia naona kama hawa Wana CCM wakitaka kumkosoa raisi wengi wao wanazunguka zunguka Tu hawaendi straight.

Mara nyingi lawama zimekuwa zikienda.kwa mawaziri. Ila ukichunguza Kwa undani kabisa mhusika mkuu ni raisi wa jamhuri ambaye Hana maamuzi yenye mantiki.

Hawa wanaCCM wakosoaji huanza Kwa kumsifia Mama ila wakianza kutoa shutuma Kwa mawaziri mambo mengi yanahitaji maamuzi ya kiongozi wao mkuu.

Swali Kwa Nini wanakuwa waoga hivi kwenda Direct Kwa mama tutafika kweli kama tutaendesha Nchi Kwa uoga na kuoneana aibu?

Au tusubiri chadema ambao nao kuwaamini ni ngumu, maana ni vigeugeu hasa wanapolambishwa asali.
 
Back
Top Bottom