Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
hivi kuna staa mwingine Afrika mashariki ni mrembo na mzuri kumzidi huddah maana huyu binti huwa nachungulia picha zake kwenye page yake naona kila siku anazidi kuwa mrembo na mzuri,ki ukweli wenye mpunga mrefu wanafaidi Sana maana inaonyesha huyu binti bila mpunga huwezi mpata ngoja tu niendelee na michakato yangu ya uvuvi na kumtamani kwenye picha tu!
 
sio mzuri huyu ukikutana naye hajapaka make up lazma utoke nduki
 
mie najua hudah maplastic surgery ndo yanambadilisha. Hakuna kitu pale kilakitu ni artificial
hata sie tusiomfahamu tunaona

kuna watoto wakali uswazi humu sema hawajui hata insta ni nini !!!!!!!!!kisha wana maisha ya kawaida wangekuwa wana level ya huyu huddah ya maisha angekimbia kabisa,,, uswazi ni noiumer
 
ndo kanani haka mbona kanaonekana kabaya tu, mwambie afute hayo mauchafu ya usoni tumuone vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…