Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

View attachment 394795View attachment 394796View attachment 394797View attachment 394798hivi kuna staa mwingine Afrika mashariki ni mrembo na mzuri kumzidi huddah maana huyu binti huwa nachungulia picha zake kwenye page yake naona kila siku anazidi kuwa mrembo na mzuri,ki ukweli wenye mpunga mrefu wanafaidi Sana maana inaonyesha huyu binti bila mpunga huwezi mpata ngoja tu niendelee na michakato yangu ya uvuvi na kumtamani kwenye picha tu!View attachment 394808

Mke wangu Ni mzuri sana kuliko wanawake wote wao wahi kuzaliwa na kuishi.
 
Back
Top Bottom