nipo naye nimemshikaKongosho hulalagi?
kumbe huwajui wazungu..kwanza niambie wazungu ni watu gani?mie naona tofauti ipo, wazungu waongea kwa ishara zaidi wakati wabongo ni wanapiga neno mwanzo mwisho.
Kwa mujibu wa tajiriba yangu hakuna tofauti yoyote ile.
Naunga mkono ulichosema ...mie naona tofauti ipo, wazungu waongea kwa ishara zaidi wakati wabongo ni wanapiga neno mwanzo mwisho.
Wazungu ukiwasifia na kuwaambia straight kwamba unataka mchezo hawataona kama umewavunjia heshima.
Tofauti na waafrika.
What do u mean "The lucky one"?The lucky one was the last American, wengine niliwachomolea!
What do u mean "The lucky one"?
Can you explain in details? mhum mhum.
Aliyeona ndani! Details za nini?
Nitalalaje wakati uko bar, nakusaka huko huko.Kongosho hulalagi?
ODM akikusikia:hand:nipo naye nimemshika
Wenye nywele laini, pua ndefu na rangi ya pinkkumbe huwajui wazungu..kwanza niambie wazungu ni watu gani?
Naunga mkono ulichosema ...