Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kuhusu kutongoza, lkn kutingozwa haina tofauti maana nao pia kila mtu na style yake! Nimeshatongozwa na watatu, 2 Americans na mfaransa; wa kwanza mmarekani alikuwa dramatic kidogo; my friend ndiye alimuhusudu so akawa anajigonga. Siku moja nilimsindikiza huyo rafiki yangu, then mkaka akatoka chumbani na kunifuata mimi living room na kuniambia kuwa ananipenda mimi (hampendi rafiki yangu)! Just like wabongo, so alimyignore rafiki yangu na kuanza kunifukuzia mimi!
The rest two, hakukuwa na drama sana ni mazingira na kuombana kwa ishara zaidi!
Hivyo kwa upande wa wanaume approach ni zile zile rangi hai- mati sana; men will always remain men!
N.B
The lucky one was the last American, wengine niliwachomolea!

The lucky one was the last American, wengine niliwachomolea![/QUOTE]
HAPO KWENYE RED: to the contrary, I Consider hao wawili uliowachomolea to be the luckiest ones!
Da-Kaunga sa unakuaje unatutia vijiraharaha vya utamu katika comment yako alafu humalizii viutamu vya mwishoni !
Not fair play bwana!
En'hee baada ya huyo Mzungu kum'push aside Shost wako akakufukuzia wewe ali-Score ? (alicheka na nyavu ?)
HAPO KWENYE RED: to the contrary said:Ni maoni yako, na u r entitled to them; hivyo sina sababu ya kupingana nawe!
No hakuscore; nilimuona ni player flani, maana imagine unamuacha mdada chumbani anpweta then unaenda kuomba kwa rafikiye sebuleni. It didn't feel right!
Sijui kuhusu kutongoza, lkn kutingozwa haina tofauti maana nao pia kila mtu na style yake! Nimeshatongozwa na watatu, 2 Americans na mfaransa; wa kwanza mmarekani alikuwa dramatic kidogo; my friend ndiye alimuhusudu so akawa anajigonga. Siku moja nilimsindikiza huyo rafiki yangu, then mkaka akatoka chumbani na kunifuata mimi living room na kuniambia kuwa ananipenda mimi (hampendi rafiki yangu)! Just like wabongo, so alimyignore rafiki yangu na kuanza kunifukuzia mimi!
The rest two, hakukuwa na drama sana ni mazingira na kuombana kwa ishara zaidi!
Hivyo kwa upande wa wanaume approach ni zile zile rangi hai- mati sana; men will always remain men!
N.B
The lucky one was the last American, wengine niliwachomolea!
Wazungu ni watu ambao wako real. Akisema a nakupenda, basi ujue anakupenda kweli. Yaani hawana ile kuongopeanKwa wale wenye uzowefu wa kutongoza wazungu na wanawake wa hapa nchi mnatueleza nini katika mada hii?