Hivi kuna tafauti ya Utongozaji baina yetu na wazungu ?

kwa mzungu kama unataka ngono ni sawa tu na kunywa soda/bia! Demu mmoja aliwahi kuniambia kuwa Dandabo if I love u 2day it doesnt mean that I will love u 2morow! Nilichoka kabisa!
 
Mzungu wa kwangu ckutongoza, tulizoeana sana baadaye tunakawa tunatoka mara kwa mara. Then tukaanza romance kwenye gari baadaye nikala mzigo hadi leo tunapendana.
 
Sijui kuhusu kutongoza, lkn kutingozwa haina tofauti maana nao pia kila mtu na style yake! Nimeshatongozwa na watatu, 2 Americans na mfaransa; wa kwanza mmarekani alikuwa dramatic kidogo; my friend ndiye alimuhusudu so akawa anajigonga. Siku moja nilimsindikiza huyo rafiki yangu, then mkaka akatoka chumbani na kunifuata mimi living room na kuniambia kuwa ananipenda mimi (hampendi rafiki yangu)! Just like wabongo, so alimyignore rafiki yangu na kuanza kunifukuzia mimi!

The rest two, hakukuwa na drama sana ni mazingira na kuombana kwa ishara zaidi!

Hivyo kwa upande wa wanaume approach ni zile zile rangi hai- mati sana; men will always remain men!
N.B
The lucky one was the last American, wengine niliwachomolea!

Da-Kaunga sa unakuaje unatutia vijiraharaha vya utamu katika comment yako alafu humalizii viutamu vya mwishoni !
Not fair play bwana!
En'hee baada ya huyo Mzungu kum'push aside Shost wako akakufukuzia wewe ali-Score ? (alicheka na nyavu ?)
 
The lucky one was the last American, wengine niliwachomolea![/QUOTE]

HAPO KWENYE RED: to the contrary, I Consider hao wawili uliowachomolea to be the luckiest ones!
 
ukiwa na muonekano mzuri kung'oa mzungu sijui inakuaje!!!ngumu sana naona!
 
Kuna utofauti saaaaana, mbongo ukichukua tu namba yake tayari umebeba.
MP.
 
sijui ulimbuke kwani sijui jibu zaid ya hili kutongoza kuna utofaut kwan si tumeona kwa sista duu wa bongo akitongozwa na mimi kaserengeti boy au kazee ka kibongo 50 yrs na matusi juu utatumia kila kitu na mbunye usipate ila kababu ka kidhungu miaka 80 nakuendelea neno 1 tu kakubari na mpaka ndo anatoa bila kuombwa.
 
Da-Kaunga sa unakuaje unatutia vijiraharaha vya utamu katika comment yako alafu humalizii viutamu vya mwishoni !
Not fair play bwana!
En'hee baada ya huyo Mzungu kum'push aside Shost wako akakufukuzia wewe ali-Score ? (alicheka na nyavu ?)

No hakuscore; nilimuona ni player flani, maana imagine unamuacha mdada chumbani anpweta then unaenda kuomba kwa rafikiye sebuleni. It didn't feel right!
 
HAPO KWENYE RED: to the contrary said:
Ni maoni yako, na u r entitled to them; hivyo sina sababu ya kupingana nawe!
 
No hakuscore; nilimuona ni player flani, maana imagine unamuacha mdada chumbani anpweta then unaenda kuomba kwa rafikiye sebuleni. It didn't feel right!

Nayo ni point chanya !
 
Sijui kuhusu kutongoza, lkn kutingozwa haina tofauti maana nao pia kila mtu na style yake! Nimeshatongozwa na watatu, 2 Americans na mfaransa; wa kwanza mmarekani alikuwa dramatic kidogo; my friend ndiye alimuhusudu so akawa anajigonga. Siku moja nilimsindikiza huyo rafiki yangu, then mkaka akatoka chumbani na kunifuata mimi living room na kuniambia kuwa ananipenda mimi (hampendi rafiki yangu)! Just like wabongo, so alimyignore rafiki yangu na kuanza kunifukuzia mimi!

The rest two, hakukuwa na drama sana ni mazingira na kuombana kwa ishara zaidi!

Hivyo kwa upande wa wanaume approach ni zile zile rangi hai- mati sana; men will always remain men!
N.B
The lucky one was the last American, wengine niliwachomolea!

huyo wa rafiki ako au mwingine? maana wengi katka love huwabebea marafiki hii ipoje as u have done it nini chanzo?
 
Wazungu huwa nawashangaa sana,utakuta mtu na akili yake anaongelea "the first kiss"! Wakati wabongo sisi tunazungumzia kushugulikia eneo la tukio kabisa
 
Haha, , nadhani tamaduni zinatofautiana. Mara nyingi wazungu wako straightforward, you don't have to hunt/tongoza them. Kinachohitajika ni mazingira na chemistry tu, huhitaji maneno meengi na uongo kibao. Yaani, mambo hutokea spontaneously!!
 
Kwa wale wenye uzowefu wa kutongoza wazungu na wanawake wa hapa nchi mnatueleza nini katika mada hii?
Wazungu ni watu ambao wako real. Akisema a nakupenda, basi ujue anakupenda kweli. Yaani hawana ile kuongopean
 
wanamme watanzania waktongoza wanaita dada, mdogo wng, shangaz sa m2 unamtongoza alaf unamwita dada shangaz? wazung hawafany ivo
 
Back
Top Bottom