proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
[emoji53] [emoji53]
Mimi nawashangaa watu humu. Kumfahamu mtu ni zaidi ya kumjua. Unaweza kuwa unanijua lakini hatufahamiani.Kufahamu ni zaidi ya kujua, rejea UFAHAMU form I.
Ufahamu ni uwezo wa kujua jambo na kulielezea au kulifafanua kwa undani.
.. ..na akinywa divai atashawishika kumjua mtu....Sawa mkuu nenda kanywe divai
Hawaelewi hao... tuwaeleweshe Daby!Mimi nawashangaa watu humu. Kumfahamu mtu ni zaidi ya kumjua. Unaweza kuwa unanijua lakini hatufahamiani.
Tunaweza kuwa tunaonana chuoni lakini haunifahamu.
Doooh hata picha uoniJessy hivi wewe ni me au ke?