Hivi kuna tofauti kati ya biashara ya Forex, kubet na ununuzi wa hisa?

Hivi kuna tofauti kati ya biashara ya Forex, kubet na ununuzi wa hisa?

Biashara gani ina faida ya uhakika moja kwa moja??
Biashara unajua kabisa nachukua mahindi Mbeya kwa 6000 debe naenda kuuza dar 10000 debe. Unapiga gharama ya usafiri unajua na faida yako. Kwenye Hisa unabet kuwa labda jinsi uchumi unavyoenda basi hisa za FB zitapanda. Unanunua ili uuze kwa faida, ila huna hakika. Kwenye Fx unaangalia uchumi wa nchi na matukio kucheki kupanda na kushuka kwa pesa unaenda na hizo taarifa kufanya business ila huna hakika itapanda kiasi gani au itakuwaje na inaweza isiwe hivyo kabisa.
Hata kwenye kubet mpira watu wanacheki vikosi, nani yuko nyumbani, majeruhi, umuhimu wa game, nani anajua kujilinda, nani anafunga sana nk. kisha anatumia hizo taarifa kuweka mkeka. hizi mambo zinafanana sana. Tofauti na mtu anayenunua mashati China na kuja kuuza Bongo. Anajua kabisa ataauza kiasi gani na atapata faida kiasi gani. Ukienda na hela ndogo anakwambia hailipi.
 
Wakati nipo high school 2017(form five) nilisoma "Stock Exchange" kwenye commerce japo sijawahi fanya practically ila sio kubet
Note: usiseme kitu ambacho huna uzoefu nacho.
Kumiliki hisa kwa lengo la speculation hiyo ni kamali
Then forex,ni advanced form of gambling
 
Kumiliki hisa kwa lengo la speculation hiyo ni kamali
Then forex,ni advanced form of gambling

Yaani kamali kuna buyer and seller pia kuna mkopo na commission, hahahah hii mpya sasa.
 
  • Thanks
Reactions: etb
Yaani kamali kuna buyer and seller pia kuna mkopo na commission, hahahah hii mpya sasa.
Long, short,sell, buy,bulls, bears ni terms tu system ya margin trading ni system ya kikamali, unaweza ukawa na hoja ya kupinga kupinga margin trading mnayoifanya kuwa sio kamali?
 
Long, short,sell, buy,bulls, bears ni terms tu system ya margin trading ni system ya kikamali, unaweza ukawa na hoja ya kupinga kupinga margin trading mnayoifanya kuwa sio kamali?

Umeishia darasa la ngapi kwanza?
 
Forex ni gambling
:: play games of chance for money; bet.
:: take risky action in the hope of a desired result.

#over
 
Mnazunguuuuuuuka kwenye hiki kithread chenu wakati tayari aliyeileta anamajibu yake tayari sema anataka kuwafanya fx traders msifanye analysis. Jamani haya mambo siyo lazima kama yamekushinda unaondoka kimya kimya tu na kwenda kuuza magimbi, vitumbua n.k. Hivi ni biashara gani duaniani hapa ambayo ina 100% success projection. Kila biashara inayofanyika hapa duniani haina huhakika wa asimilia 100 kwamba itafanikiwa au itafeli. Hivyo kama hiyo ndio mantiki ya kamali basi biashara zote ni kamali labda kama utaleta definition nyingine tofauti na hiyo. Ndiyo maana biashara na makampuni yanaanzishwa na kufa. Hata kusoma kwenyewe pia ni gambling kwa maana hiyo!
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Mnazunguuuuuuuka kwenye hiki kithread chenu wakati tayari aliyeileta anamajibu yake tayari sema anataka kuwafanya fx traders msifanye analysis. Jamani haya mambo siyo lazima kama yamekushinda unaondoka kimya kimya tu na kwenda kuuza magimbi, vitumbua n.k. Hivi ni biashara gani duaniani hapa ambayo ina 100% success projection. Kila biashara inayofanyika hapa duniani haina huhakika wa asimilia 100 kwamba itafanikiwa au itafeli. Hivyo kama hiyo ndio mantiki ya kamali basi biashara zote ni kamali labda kama utaleta definition nyingine tofauti na hiyo. Ndiyo maana biashara na makampuni yanaanzishwa na kufa. Hata kusoma kwenyewe pia ni gambling kwa maana hiyo!
Zipo business ambazo risk2benefit ratio ni ndogo. Ila hizo biashara huitaji watu wenye mitaji mkubwa. Ndo maana msemo huu THE RICH GET RICHER.
 
Dah HISA nazo ni kubett[emoji15][emoji15]....kwa hiyo unatuambia wenye hisa za makampun na bank kama DCB tunabett...???
 
Dah HISA nazo ni kubett[emoji15][emoji15]....kwa hiyo unatuambia wenye hisa za makampun na bank kama DCB tunabett...???
Kwa mfano umenunua hisa za crdb unasubiri hisa zipande (uncertainty) uuze zikiwa zinashuka umeliwa.
Hapa naona hakuna tofauti na aliyeka mkeka anasubiri taifa stars amfunge uganda.
 
kubet ni kupata kukosa ila Hisa ni issue tofayti kabisa nenda pale DSE kapate elimu ya HISA upate kuwekeza
 
Back
Top Bottom