Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 May 1, 2012 #1 Wadau naomba tofauti ya kina kama ipo maana niliona jamaa mmoja juzi channel 10 akitofautisha lakini nilikuta ndo anaishia sikunyaka vizuri
Wadau naomba tofauti ya kina kama ipo maana niliona jamaa mmoja juzi channel 10 akitofautisha lakini nilikuta ndo anaishia sikunyaka vizuri
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 May 1, 2012 #2 Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!.
Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 May 1, 2012 Thread starter #3 Pasco said: Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!. Click to expand... duh! aisee, kuna mkurugenzi mmoja alisema independent candidate ni mgombea huru kwa ksiwahili
Pasco said: Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!. Click to expand... duh! aisee, kuna mkurugenzi mmoja alisema independent candidate ni mgombea huru kwa ksiwahili
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 May 1, 2012 Thread starter #4 Pasco said: Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!. Click to expand... mkuu kama una source itajua jambo la mbolea..........
Pasco said: Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!. Click to expand... mkuu kama una source itajua jambo la mbolea..........