kibaa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 717
- 178
Ana chuki na nani??
hana chuki na mtu ni mimi ndiyo nina chuki binafsi kwake na haina sababu nilianza kutompenda pale alipovaa viatu vya kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana chuki na nani??
SIAMINI kama Kiba anapendwa hivyo, Ila NAAMINI Kiba anatumiwa kumshusha Diamond kinguvu!
Mkuu you are right,ila kiba hajafikia international level which diamond amefikia,so kuwafananisha ni sawa na kufananisha tui la nazi na maziwa,soon wanaotaka kumuangusha wataumbuka kwa sababu mungu ndio alimweka kny hio status pamoja na hard work
My dear si uliaga vipi tena