Hivi Kuna Ubaya Kumsifia Diamond na Ally Kiba Kwa Pamoja?

Wote wako juu lol ila mie timu diamond he has EVOLVE over the years for silly cows to bring him down,diamond just keep quiet for A WHILE km hela ipo nenda vacation ukirudi ingia studio toa kitu cha nguvu
 
SIAMINI kama Kiba anapendwa hivyo, Ila NAAMINI Kiba anatumiwa kumshusha Diamond kinguvu!
 
Mkuu you are right,ila kiba hajafikia international level which diamond amefikia,so kuwafananisha ni sawa na kufananisha tui la nazi na maziwa,soon wanaotaka kumuangusha wataumbuka kwa sababu mungu ndio alimweka kny hio status pamoja na hard work
 
My dear si uliaga vipi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…