Hivi kuna ubaya mpenzi akitaja jina la mtu mwingine wakati mnafanya mapenzi?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo?

Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja BenjaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja HamidaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
HAKUNA UBAYA
 
We ukitajiwa watatu siku moja au tofauti utaona ni sawa tu?
 
Nenda kataje jina la 'mdudu kitimoto' Saudia, ndio utajua kwa nini sio kila mahali pa kutaja kila jina.
Get shit off inside your head.....huu ni Uzi wa kawaida
 
Au Nenda Marekani Washington vaa kanzu beba Begi jeusi ndani weka Nguo, Alafu Sema (Allahu Akbar)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…