Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa.
Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔
👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??,
👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama mwanadamu??
Sheria ya asili(nature) inasema nguvu ya asili ipo hapo kukutumikia-
👉Pale unapo jihisi Maumivu, ita kutafutia mtu au kitu Cha kukufariji.
👉Na hivyo hivyo kinyume chake, nguvu hiyo inapoona Sasa mtu huyu kafarijika- basi huondoa sababu hiyoo.
Sasa jamani tusi hamasishane Sana katika Jambo hiloo, mtu akiona inafaa kwa nafasi yake Basi Ni sawa.
Note: sijasema watu wasipendane, au kutokuwa kuoana.
👉Wala SI support Jambo lolote hasi.
👉 I mean no malice to nobody