Hivi kuna ubaya wowote mwanaume kupewa pesa na mwanamke?

kuchukua hela
Sasa mashaka yanakuja wapi kwani hizo hela za wizi? mwenzio anakupa pesa kwa upendo wewe unaleta mashaka ya nini?

Sikia mwaume ni mwanaume tu,laiti ingekuwa kupewa hela na mwanamke kunaondosha uwanaume wako basi hata usingekuja kuomba ushauri.

Kwa maana hiyo ushauri wangu mie hizo pesa we chukua hakuna tatizo lolote mkuu.
 
Inategemea anakupa katika mazingira yapi?mfano huna,umeibiwa,umefiwa,una mgonjwa,huna nauli it depends
 
Si vizuri kupewa pesa na mwanamke kwa atakusumanga sana. Hata kama alikupa zawadi ipo siku ukimkorofisha atakudai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…