Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mashaka yanakuja wapi kwani hizo hela za wizi? mwenzio anakupa pesa kwa upendo wewe unaleta mashaka ya nini?kuchukua hela
Sio mbaya ila inategemea hizo pesa anapata wapi? Anatatuta au zamasela
True sio unakula na kulala tu hujiongeziiyo akili ndo hua haipo ila umenipa kitu