Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na genye 😏 - tuzogoe!

Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na genye 😏 - tuzogoe!

Looking for the perfect waistbead 👀🎀Our waistbeads are beautiful, durable and carefully handma.jpg
 
Hali ya hewa hio akili ya kuandika imepungua, mwili unahitaji kufanya kuliko kuandika.
😂
Ngoja nimbinjue mtoto wa mtu..
MIJUU GUU , ahh, miguu juu km kuku anabanikwa, ama ile DOG anajinyoosha..
Mbinjue wifi yangu, asilale na haka kabaridi mwenyewe
 
  1. Hili swala la mvua zikiamsha na mwili nao unaamsha limekaaaje?
  2. Je, wewe huwa unajisikia hamu zaidi ya tendo hali ya hewa ikiwa imepoa au kuna mvua?
  3. Jambo gani ushawahi kufanya sababu ya hizi mvua, kila ukikumbuka unacheka tu?
  4. Kuna sayansi yoyote nyuma yake au ni nini sababu?

    Binafsi kukianza kunyesha tu ni kama mvua inanyesha huko nje ila nalowana niliyepo ndani. Nishawahi kuingia barabarani masaa manne namfuata ba mjengo Morogoro, ili anikande na nilivyofika sikuvumilia tukakiwasha kwenye gari.

    Haiwezekani nikawa peke yangu tu ninayekumbwa na hii hali, njooni mniambie vipi huko kwenu kunakuwaga shwari? Karibu tuzogoe!
Mmmmh mvua kabisa au manyunyu mkakiwasha ? Hapana allow hii haijakaa poa
 
Back
Top Bottom