Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na genye 😏 - tuzogoe!

Kwako hainogi zaidi kukiwa na kaubaridi na utulivu wa mvua?
Vingunguti hamna utulivu mkuu.

Huku muda wowote tunakiwasha, muda wote ni mchana wa jua kali.
Ukinyoosha mkono unaligusa paa la nyumba na ndani hamna feni na kidirosha kidogo ila na hilo joto bado tunalombana.
 
Alikuwa anajipakuliaa minyama.. 🀣
 
Dah yaani na leo hali ya hewa hap Dar imepoa kuna kaubaridi kadogo, unatafuta demu mwwnye zigo la maana unaenda kusugua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…