Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Heshima kwenu wakuu..
Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu.
Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili Kupungua Wakuu? Najua kuna ma-doctor wengi humu wanaweza kunipa sababu za kitaalamu kabisa kuhusiana na hii scenario wakuu.
Natanguliza shukran kwenu. Thanks.