Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndio Mambo Sasa!
Acha kufananisha mtu mwenye Rav 4 used , nyumba Goba na mtu aliyerudi na cheni,hereni ,phone na kutaka kufikia hukohuko Goba mnakodis....Ni mafuta na majiHuko mbali mnakofika wapi? Kupata ajira ya 1/2m, kununua RAV4 ya miaka 15 iliopita na kujenga Goba huko? Kila siku humu watu wanalia maisha magumu Tz leo hii mmefika mbaaali!
Aaah acha basi kuponda waliopanga huwa mnaorudi hapa hata ya kumpanga hicho chumba kimoja hamna...mnaanza kujibanza humohumo kwenye ndoo za kuogea na kuchosha wadogo zenu....acha makasiriko basi au na wewe hoi huko?Wengi wanaoponda diaspora ni wale ambao hawana vigezo/sifa za kuwawezesha kupata visa ya kwenda huko ughaibuni. Mtu anaponda diaspora utadhani anayo database ya watz woote walioko huko mfano wao mkubwa wanamtolea le mutuz. Le mutuz tu anaishi standard life kuliko wengi mnaomponda huku
Mtu amepanga vyumba viwili huko uswekeni analala na ndoo za kuogea ndani eti nayeye Yuko online anakashifu diaspora!!!!
JoanahHivi mtoa mada Kuna mtu mwingine ana jina Hilo Kama Hilo Lako humu JF au nimechanganya ID's?
Kweli mmeyapatia maisha.Acha kufananisha mtu mwenye Rav 4 used , nyumba Goba na mtu aliyerudi na cheni,hereni ,phone na kutaka kufikia hukohuko Goba mnakodis....Ni mafuta na maji
Joanah!! nakuita tena.......weye mpende tu km alivo, ilimradi rorho yako imekufikisha hapo, umesha sema mambo flani nakufurahisha kazia hapohapo!!! iko siku akibadirika ni sifa kwako! utashangaa!! sasa utachagua chagua mpaka lini mdogo wangu??Joanah.
Yaani hapo unawapa assuarance kwamba hela unayo sema tu kuna mission unaisikilizia,Yaani kitendo cha kusema umefika New york ni CV mamaHalafu nikimaliza kuwasimulia ndio niwaulize una buku tano hapo!aaah we king tuheshimiane
Hah hah Mimi Niko zangu tz hapa hapa nna ndugu jamaa na hata majirani wameenda huko ughaibuni na wamerudi wame improve Hali zao kimaisha na hata ambao bado wapo huko Naona wameweza kubadili Hali za maisha ya home kwao. Kwa hiyo unaposema 2/10 tu ndio wamefanikiwa sijui hizo data umetoa wapi? Nahisi labda wewe ni loser ndio maana circle yako unakutana na loser.(🐦 of the same fither...Aaah acha basi kuponda waliopanga huwa mnaorudi hapa hata ya kumpanga hicho chumba kimoja hamna...mnaanza kujibanza humohumo kwenye ndoo za kuogea na kuchosha wadogo zenu....acha makasiriko basi au na wewe hoi huko?
Ni sawa labda Mimi looser,Ila habadili ukweli kwamba hao looser wengine wametoka huko mnakotuaminisha Ni better than hapa.Hah hah Mimi Niko zangu tz hapa hapa nna ndugu jamaa na hata majirani wameenda huko ughaibuni na wamerudi wame improve Hali zao kimaisha na hata ambao bado wapo huko Naona wameweza kubadili Hali za maisha ya home kwao. Kwa hiyo unaposema 2/10 tu ndio wamefanikiwa sijui hizo data umetoa wapi? Nahisi labda wewe ni loser ndio maana circle yako unakutana na loser.(🐦 of the same fither...